The House of Favourite Newspapers

United Inamuonea Zlatan Ibrahimovic

CHAMPIONI| MANCHESTER, England UKWELI unabaki palepale kuwa Manchester United ina wakati mgumu sana msimu huu wa Ligi Kuu England. Timu hii chini ya kocha Jose Mourinho imeshindwa kuwania ubingwa na nafasi pekee ambayo inayo kwa sasa ni…

Lukaku: Zlatan Kanipa Jezi Namba 9

STRAIKA mpya wa Manchester United, Romelu Lukaku ameanza kazi klabuni hapo baada ya kukamilisha mchakato wa usajili akitokea Everton na kuamua kuchagua jezi namba 9. Lukaku amesema amechagua jezi hiyo kwa kuwa yeye ni straika halisi na…

Kodi Zamrudisha Ninja Yanga

NAELEZWAbeki wa kimataifa wa Tanzania, Abdallah Shaibi ‘Ninja’ amekubali kurejea nchini kujiunga na Yanga kufuatia kushindwa kuvumilia makato ya kodi katika mshahara wake huko Jamhuri ya Czech. Beki ambaye alijiunga na…

Mourinho Anamshusha Gareth Bale

KOCHA wa Manchester United, Jose Mourinho anaamini straika wake Zlatan Ibrahimovic aliyerejea uwanjani hataweza kucheza vizuri kama ilivyo-kuwa awali, hivyo yupo mbioni kumsajili Gareth Bale. Kwa muda mrefu Mourinho amekuwa…